Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza jambo wakati wa Mkutano wa Wadau kuhusu Tathmini ya Utekelezaji wa Mkakati wa Kushughulikia Mashauri ya Kodi, Biashara, Mabenki, Ardhi na Ushindani wa Kibiashara uliofanyika leo tarehe 10 Juni, 2026 kwenye ukumbi wa mikutano wa Jaji Mkuu Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma.
