SISA, DRM Katika mahakama ya Mwanzo Nyamwaga mrufani alikuwa mdai na warufaniwa wadaiwa katika shauri la madai na. 11/2026, ambapo mrufani aliwafungulia wadaiwa madai ya Tsh. 85,000/= ikiwa ni fidia ya uharibifu wa katani zilizodaiwa kuharibiwa na warufaniwa.
Sign up to save documents, read summaries and access more features.
Ask questions and understand this document faster using AI.
Loading PDF Document...