MAGEZI, PRM II Musenga Henry Mbeye, ambaye katika shauri hili atajurikana kama Mkata rufaa, ni mtumishi wa umma, ameajiliwa na halmashauri ya Wilaya ya Ileje kwa nafasi ya ulinzi ( security guard) na Subira Msobeghe Mlungu ambaye naye atajurikana kama Mjibu rufaa , ni mfanyabiashara kwa kadri alivyojitambulisha kule Mahakama ya mwanzo.
Sign up to save documents, read summaries and access more features.
Ask questions and understand this document faster using AI.
Loading PDF Document...