LUVANDA, J Mkata Rufaa tajwa hapo juu, alisajili shauri la mgogoro wa ardhi katika Baraza la Wilaya, akidai kuwa yeye ni mmiliki wa eneo lenye ukubwa wa hatua 43 kwa 53 lililopo Vikindu, Mkuranga, Pwani, alilolinunua kutoka kwa Bwana Jumanne Salum mnano tarehe 3/02/2007, kwa kiasi cha TZS 400,000.
Sign up to save documents, read summaries and access more features.
Ask questions and understand this document faster using AI.
Loading PDF Document...